Digital guide

You are here:

Dudu Fenos 440EC

DuduFenos Bukoola

DuduFenos Bukoola

Dudu fenos hulinda mazao yako dhidi ya katapila,minyoo na vitobozi

Kiua visumbufu vilivyo katika jamii ya minyoo, Diamond back moth, Aphids, Fruits worms, Crickets, Panzi na Locusts pia mbogamboga, nafaka, legumes na miti ya matunda.

TAHADHARI:

Tumia Dudu-Fenos kulingana na maelekezo ya kibandiko kilichopo katika chupa ya dawa. WEKA MBALI NA WATOTO

PHI:

Siku 7 kwa mbogamboga, siku 14 kwa pamba. KUCHANGANYWAl: Inaweza kuchanganywa na dawa yoyote isipokuwa zile dawa zenye alkali.

MAZINGIRA: Dudu-Fenos ib sumu, kwa viumbe kama samaki na nyuki. Isinyunyizwe karibu na maji na wanyama pia usilishe wanyama pahala paliponyunyizwa dawa

HUDUMA YA KWAANZA:

Ukihisi umeathiliwa na dawa acha kunyunyiza mwite daktari. Weka muathilika sehemu ya hewa safi na mvue nguo zenye dawa. Muoshe ngozi iliyoathilika kwa maji mengi na sabuni. Kama ameimeza, mtapishe kulingana na hali ya mgonjwa kama amepoteza fahamu usimtapishe.

You may also like