Digital guide

You are here:

GuguDry 480SL

Kwa kuangamiza magugu ya msimu na ya kudumu jamii ya nyasi na majani mapana

Tumia GuguDry 480SL wakati magugu yanakua kikamilifu kwa matokeo bora. Usinyunyuzie wakati mvua iko inatarajiwa katika masaa 3 baada ya kunyunyizia dawa

Matumuzi:
200ml kwenye 20L za maji
NAMNA YA KUCHANGANYA: Weka maji nusu kwenye bomba changanya na GuguDry tikiza vizuri ichanganyike ongeza maji hadi kwenye alama ya bomba.
TAHADHARI: Vaa mavazi kinga,safisha /osha nguo ulizo tumia baada ya kunyunyuzia GuguDry,usile ,usinywe au kuvuta sigara wakati wa kunyunyuzia usitumie chupa ya GuguDry wekambali na watoto
MADHARA KWA MAZINGIRA:
Usitupe au kuchafua maji ya ziwa na mito kwa kutupa kiuaguguau kiweko tupu. GuguDry 480SL ni sumu kwa samaki. Kiweko hakipaswi kutumika kwa matumizi mengine yeyote.
HUDUMA YA KWANZA: Kama amemeza usimtapishe mpe glasi ya maji,kama imemmwagikia kwenye ngozi mvue nguo mwoshe na maji ,kama imemwingia machoni mwoshe na maji tiririka ndani ya dakika 15 na mwone daktari
MAKATA: hakuna makata inayojulikana kupunguza makali ya sumu iliyopo ndani ya GuguDry tibu kulingana na dalili zitakazojitokeza

You may also like