Digital guide

You are here:

Dudu-Acelamectin

Dudu Acelamectin hutumika dhidi ya wadudu wa kutafuna katika mazao kama viazi, tikiti maji na vitunguu.

KIWANGO CHA DAWA:
Tumia ujazo wa mil 20-30 za dawa kwa lita 20.

UCHANGANYAJI:
Jaza maji nusu bomba kisha weka kiwango cha dawa kinachotakiwa na utikise vizuri jazia maji kwenye bomba kisha anza kunyunyizia
TAHADHARI:
Weka mbali na watoto ,usivute hewa ya sumu na uvae vifaa vya kinga.

HUDUMA YA KWANZA:
Muondoe muathirika kwenye sumu na mpeleke kwenye hewa safi, kisha umuone daktari

You may also like