Digital guide
You are here:
- Home
- Herbicides
- Commander 720G/L
Commander 720G/L
Kamanda 720SL inatumika kwa udhibiti wa upana magugu ya majani katika mahindi, mpunga na ngano.
MATUMIZI (VIPIMO):
- Tumia mls 30-50 za 24D Amine katika lita 20 za maji
- Kwa majani magumu tumia 100-150mls katika lita 20 za maji
TAHADHARI:
Wakati wote wa kutumia dawa vaa mavazi ya kinga kama gloves za mpira, ovalori, miwani ya kukinga macho na pua. Vaa buti kukinga miguu. Usiluhusu wanyama kuingia eneo lililopulizwa dawa mpaka wiki mbili zipite. Usinyunyizedawa zaidi ya mara moja katika eneo moja katika msimu mmoja.
HUDUMA YA KWANZA:
Kama imeingia machoni osha kwa maji mengi na safi. Kama imegusa ngozi osha kwa maji mengi na sabuni. Ondoa nguo zenye dawa mwilini na ufue kwa sabuni tayari kwa matumizi siku nyingine. Usimtapishe aliyeathiliwa na dawa. Labda kwa ushauri wa Dakitari.